Wie kan het ondestaande gedicht in Swahilli voor ons vertalen
Tulipatana
Katika nchi ya mbali yenye joto
chini ya umande wa mlima mkuu
ilianza kwa kidole kimoja
na kwa ishara moja tu.
tangu hapo, na kwa kila hatua mpya
na kila siku tukiwa pamoja
nakupenda zaidi
milele na milele